Kuvaa mask 😷 au la? 😮

Kuvaa mask 😷 au la? 😮
Download Image

Kukohoa au kupiga chafya? Vaa Mask! Hujisikii mgonjwa? Waachie masks wale wanaohitaji! Hasa wale walio na dalili na kuwajali wagonjwa.

Ukweli

COVID-19 inaenea kupitia matone ya kupumua. Epuka kuwasiliana na mtu wa karibu (mita 1) na watu ambao niwagonjwa na epuka kugusa nyuso au watu wengine walioambukizwa. Masks ya uso inaweza kusaidia kupunguza kasi ya kuenea kwa maambukizi kwa kuzuia kuwasiliana na mdomo, pua, na uso.

https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019/advice-for-public/when-and-how-to-use-masks 
https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/prevent-getting-sick/prevention.html