Bibi. Mjomba. Mke. Mtoto. Haijalishi! Tuko katika hili pamoja!

Bibi. Mjomba. Mke. Mtoto. Haijalishi! Tuko katika hili pamoja!
Download Image

Tuwe na utu,tuwasiliane,tushirikiane na tusaidiane kwa upendo.

Ukweli

COVID-19 inaweza kuathiri mtu yeyote bila kujali umri. Walakini, wazee, watu walio na hali za matibabu zilizokuwepo, na watu wenye kinga dhaifu, kama wale walio na HIV, wako katika hatari zaidi.

https://www.who.int/news-room/q-a-detail/q-a-on-covid-19-hiv-and-antiretrovirals