Fanya uwezavyo kusaidia. #StayHome #AloneTogether

Fanya uwezavyo kusaidia. #StayHome #AloneTogether
Download Image

Jilinde mwenyewe kwanza. Wasaidie wengine, ikiwa wanahitaji msaada. Kaa nyumbani tu - ndio njia bora ya kutopata (au kuenea) COVID-19.

Ukweli

Jilinde mwenyewe na uwasaidie wengine. Kuwasaidia wengine wakati wa uhitaji kunaweza kumnufaisha mtu anayepokea msaada na msaidizi. Kwa mfano, piga simu kwa majirani au watu wako kwenye jamii yako ambao wanaweza kuhitaji msaada zaidi. Kufanya kazi kwa pamoja kama jamii moja kunaweza kusaidia kuunda mshikamano katika kushughulikia COVID-19 pamoja.

https://www.who.int/docs/default-source/coronaviruse/mental-health-considerations.pdf
https://www.gfmer.ch/Medical_search/Ministry_health.html